Tafuta, funga, futa au cheza sauti kwenye kifaa chochote cha Android kilichopotea
Tambua kifaa chako cha Android kilichopotea na ukifunge hadi utakapokipata
Vipengele
Angalia simu, kompyuta kibao au vifaa na vifuasi vyako vingine vya Android kwenye ramani. Ikiwa eneo ulipo sasa halipatikani, utaona eneo la mwisho ulipokuwa mtandaoni.
Tumia ramani za ndani ili zikusaidie kupata vifaa vyako kwenye viwanja vya ndege, maduka au majengo mengine makubwa
Nenda mahali vilipo vifaa vyako kwa kutumia Ramani za Google kwa kugusa mahali kilipo kifaa chako kisha aikoni ya Ramani
Cheza sauti kwa sauti ya juu, hata ikiwa kifaa kimewekwa katika hali ya kimya
Futa data yote ya Kifaa cha Android kilichopotea au ukifunge na uongeze ujumbe maalum na maelezo ya mawasiliano kwenye skrini iliyofungwa
Angalia hali ya mtandao au betri
Angalia maelezo ya maunzi
Ruhusa
• Mahali: Kuonyeshe mahali kilipo kifaa chako sasa kwenye ramani
• Anwani: Kufikia anwani za barua pepe zinazohusiana na Akaunti yako ya Google
• Utambulisho: Kufikia na kudhibiti anwani za barua pepe zinazohusiana na Akaunti yako ya Google
• Kamera: Kupiga picha na kurekodi video
Ilisasishwa tarehe
3 Des 2024