Programu ya Gemini inapatikana tu kwenye simu za Android zenye RAM ya GB 2 au zaidi, zinazotumia toleo la Android 10 na matoleo mapya zaidi.
Programu hii rasmi ni ya bila malipo. Gemini hukuwezesha utumie mifumo bora zaidi ya Akiliunde kutoka Google moja kwa moja katika simu yako ili uweze:
- Kupata usaidizi wa kuandika, kujadili ili kuzalisha mawazo, kujifunza na zaidi - Kuandaa muhtasari na kupata maelezo ya haraka kutoka kwenye Gmail au Hifadhi ya Google - Kuzalisha picha kwa haraka - Kutumia maandishi, sauti, picha na kamera yako kupata usaidizi kwa njia mpya - Kupanga safari ukitumia Ramani za Google na Ndege kwenye Google
Ikiwa unaweza kutumia Gemini Advanced itapatikana hapa kwenye programu ya Gemini.
Programu ya Gemini ya vifaa vya mkononi inasambazwa kwenye maeneo, lugha na vifaa mahususi. Pata maelezo zaidi kuhusu upatikanaji kwenye Kituo cha Usaidizi: https://support.google.com/?p=gemini_app_requirements_android Soma Ilani ya Faragha ya Programu za Gemini: https://support.google.com/gemini?p=privacy_notice
Ilisasishwa tarehe
19 Nov 2024
Kuongeza tija
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine11
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.6
Maoni 2.14M
5
4
3
2
1
Vipengele vipya
Programu ya Gemini sasa inapatikana katika lugha na nchi zaidi. Angalia upatikanaji kwenye Kituo cha Usaidizi. https://support.google.com/?p=gemini_app_requirements_android