Unda, badilisha na ushirikiane na wengine kwenye hati kutoka katika simu au kompyuta kibao yoyote ya Android kwa kutumia programu ya Hati za Google. Ukiwa na Hati za Google unaweza:
- Kuunda hati mpya au kubadilisha faili zilizopo
- Kushiriki hati na kufanya kazi pamoja na wengine katika hati moja kwa wakati sawa.
- Kufanya kazi zako wakati wowote - hata bila muunganisho wa intaneti.
- Kuongeza na kujibu maoni.
- Kukaa bila hofu ya kupoteza kazi yako - kila kitu kinahifadhiwa kiotomatiki kadri unavyocharaza.
- Kutafiti, moja kwa moja bila kufunga Hati ukitumia Kichunguzi
- Kufungua, kubadilisha na kuhifadhi hati za Microsoft Word.
Ilisasishwa tarehe
12 Des 2024