Jibu tafiti za haraka na ujipatie salio la Google Play ukitumia Zawadi za Maoni za Google, programu iliyoundwa na timu ya Uchunguzi wa Google.
Kuanza ni rahisi. Pakua programu na ujibu maswali ya msingi kukuhusu. Kisha tutakutumia tafiti karibu mara moja kwa wiki, ingawa zinaweza kuwa nyingi au chache. Utapokea arifa kwenye simu yako uchunguzi mfupi na unaofaa ukiwa tayari, na unaweza kupokea hadi $1.00 katika salio la Google Play kwa kuukamilisha. Maswali yanaweza kuanzia, "Ni nembo ipi iliyo bora zaidi?" na "Ni ukuzaji gani unaovutia zaidi?" hadi "Unapanga kusafiri lini?"
Ilisasishwa tarehe
10 Des 2024