Google Tafsiri

4.3
Maoni 8.97M
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

• Tafsiri ya maandishi: Tafsiri kati ya lugha108 kwa kucharaza
• Gusa ili Utafsiri: Nakili tu maandishi katika programu yoyote na uguse aikoni ya Google Tafsiri ili utafsiri (lugha zote)
• Nje ya mtandao: Tafsiri bila muunganisho wa intaneti (lugha (59)
• Tafsiri ya papo hapo kwenye kamera: Tafsiri maandishi katika picha papo hapo kwa kuelekeza kamera yako tu (lugha 94)
• Picha: Piga picha au uzilete kutoka mahali pengine ili upate tafsiri zenye ubora wa juu zaidi (lugha 90)
• Mazungumzo: Tafsiri mazungumzo ya lugha mbili moja kwa moja (lugha 70)
• Mwandiko: Chora herufi za maandishi badala ya kucharaza (lugha 96)
• Kitabu cha Tafsiri: Weka nyota na uhifadhi maneno na sentensi ulizotafsiri ili uzirejelee baadaye (lugha zote)
• Usawazishaji wa baina ya vifaa: Ingia ili usawazishe kitabu cha tafsiri kati ya programu na kompyuta ya mezani
• Kipengele cha Kunukuu: Tafsiri kwa mfululizo mtu anapozungumza lugha tofauti karibu wakati huo huo (lugha 8)

Tafsiri kati ya lugha zifuatazo zinawezekana:
Kiafrikana, Kiaimara, Kiaislandi, Kiajemi, Kialbania, Kiamhariki, Kiarabu, Kiarmenia, Kiasami, Kiayalandi, Kiazebaijani, Kibambara, Kibaski, Kibelarusi, Kibengali, Kibhojpuri, Kibosnia, Kibulgaria, Kiburma, Kicheki, Kichewa, Kichina (cha Jadi), Kichina (Rahisi), Kidenmaki, Kidhivehi, Kidogri, Kiebrania, Kiesperanto, Kiestonia, Kiewe, Kifaransa, Kifilipino, Kifini, Kifrisia, Kigaeli-Skoti, Kigalisia, Kiganda, Kigiriki, Kiguarani, Kigujarati, Kihausa, Kihawaii, Kihindi, Kihispania, Kihmong, Kiholanzi, Kihungari, Kiigbo, Kiilokano, Kiindonesia, Kiingereza, Kiitaliano, Kijapani, Kijava, Kijerumani, Kijiojia, Kikambodia, Kikannada, Kikatalani, Kikazakh, Kikechua, Kikirgizi, Kikonkani, Kikorea, Kikorsika, Kikrio, Kikrioli cha Haiti, Kikroeshia, Kikurdi (Kikurmanji), Kikurdi (Sorani), Kilao, Kilasembagi, Kilatini, Kilatvia, Kilingala, Kilithuania, Kimaithili, Kimalagasi, Kimalayalam, Kimalesia, Kimalta, Kimaori, Kimarathi, Kimasedonia, Kimeiteilon (Kimanipuri), Kimizo, Kimongolia, Kinepali, Kinorwe, Kinyarwanda, Kiodia (Kioriya), Kioromo, Kipashto, Kipolandi, Kipunjabi, Kireno, Kiromania, Kirusi, Kisamoa, Kisanskriti, Kisebuano, Kisepedi, Kiserbia, Kishona, Kisindhi, Kisinhala, Kislovakia, Kislovenia, Kisomali, Kisotho, Kisunda, Kiswahili, Kiswidi, Kitajiki, Kitamil, Kitatari, Kitelugu, Kithai, Kitigrinya, Kitsonga, Kituruki, Kiturukimeni, Kitwii, Kiuiguri, Kiukrani, Kiurdu, Kiuzbeki, Kivietnam, Kiwelshi, Kixhosa, Kiyidi, Kiyoruba, Kizulu

Taarifa ya Ruhusa
Google Tafsiri inaweza kuomba ruhusa ya kufikia vipengele vifuatavyo:
• Maikrofoni kwa ajili ya tafsiri ya kutamka
• Kamera kwa ajili ya kutafsiri maandishi kupitia kamera
• Hifadhi ya nje kwa ajili ya kupakua data ya kutafsiri nje ya mtandao
• Akaunti na vitambulisho vya kuingia katika kifaa na kusawazisha kwenye vifaa vyote
Ilisasishwa tarehe
2 Des 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni 8.5M
Meshack Pendael
3 Novemba 2024
Nzuri
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Benjamin Bugalama
20 Juni 2024
Oky
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Victor Muforo
26 Februari 2024
Programu hii ni njema kabisa.
Watu 13 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Hitilafu zimerekebishwa na utendakazi kuboreshwa