Jaribio
Jaribio ni taratibu zinazofuatwa ili kuthibitisha, kukanusha au kuhalalisha makisio. Majaribio yanatofautiana sana katika malengo na vipimo, lakini kwa kawaida hutegemea na kurudiwa kwa taratibu husika na uchambuzi yakinifu wa matokeo yaliyopatikana.
Mtoto anaweza kufanya majaribio ya msingi ili kuelewa uzito, lakini kundi la wanasayansi wanaweza kuchukua miaka mingi kufanya uchunguzi kuongeza uelewa wao kuhusu jambo fulani.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jaribio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |