Thukidides
Thukydides (kwa Kigiriki Θουκυδίδης, Thukudídēs; alizaliwa mnamo mwaka 460 KK - aliaga dunia mnamo mwaka 400 KK) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanahistoria wa Ugiriki ya Kale kutoka Athini anayekumbukwa hasa kwa maandishi yake kuhusu Vita ya Peloponesi (431 KK hadi 404 KK) kati ya Athini na Sparta.
Aliitwa "baba wa historia ya kitaalamu" kwa jitihada zake za kukusanya habari kutoka vyanzo vingi na kusimulia historia bila msimamo wa upande mmoja.
Marejeo
haririKusoma zaidi
hariri- Herodotus, <i id="mwIg">Historia</i>, AD Godley (mtafsiri), Cambridge: Harvard University Press (1920). ISBN 0-674-99133-8 .
- Pausanias, Maelezo ya Ugiriki, Vitabu I-II, ( Loeb Classical Library ) iliyotafsiriwa na WHS Jones; Cambridge, Massachusetts: Chuo Kikuu cha Harvard Press; London, William Heinemann Ltd. (1918). ISBN 0-674-99104-4 . .
- Plutarch, <i id="mwMw">Maisha</i>, Bernadotte Perrin (mtafsiri), Cambridge, MA. Chuo Kikuu cha Harvard Press. London. William Heinemann Ltd. (1914). ISBN 0-674-99053-6 .
- Thucydides, Vita vya Peloponnesia . London, JM Dent; New York, EP Dutton (1910). .
Tovuti nyingine
hariri- Works by Thucydides katika Project Gutenberg
- Fasihi fupi ya Thucydides Ilihifadhiwa 15 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine. Lowell Edmunds, Chuo Kikuu cha Rutgers
- Mradi wa Perseus Thucydides, Jedwali la Yaliyomo
- Tafsiri ya Thomas Hobbes ya Thucydides
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thukidides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |