Iceman (komiki)
Mandhari
Iceman (Mtu-Barafu) | |
---|---|
Maelezo ya chapisho | |
Mchapishaji | Marvel Comics |
Kujitokeza kwanza | The X-Men #1 (Sep. 1963) |
Waumbaji |
Stan Lee Jack Kirby |
Maelezo | |
Jina halisi | Robert "Bobby" Louis Drake |
Spishi | Mutanti |
Ushirikiano | X-Men X-Factor Defenders Champions X-Terminators The Twelve Cataclysm Keys Secret Defenders |
Lakabu mashuhuri | Drake Roberts, Mister Friese, Frosty |
Uwezo | Mamlaka ya barafu / kriokinesi |
Iceman (Kiswahili: Mtu-Barafu, Robert "Bobby" Louis Drake) ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics na alikuwa mwanachama wa pili wa X-Men. Iceman ana uwezo wa kriokinesi yaani uwezo wa kuganda kitu chochote na uwezo wa kuwa barafu vilevile.