Nenda kwa yaliyomo

Haki za binadamu nchini Saudi Arabia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Haki za binadamu nchini Saudi Arabia ni mada ya wasiwasi na utata. Serikali ya Saudia ambayo inawaamuru Waislamu na wasio Waislamu kufuata sheria za Kiislamu chini ya utawala kamili wa Baraza la Saud, imekuwa ikishutumiwa na kulaumiwa na mashirika na serikali mbalimbali za kimataifa kwa kukiuka haki za binadamu ndani ya nchi hiyo.[1]

Marejeo

  1. "Human rights in Saudi Arabia", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24