2001 (albamu)
2001 | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Dr. Dre | |||||
Imetolewa | November 16, 1999 | ||||
Imerekodiwa | 1998/1999 | ||||
Aina | West Coast hip hop, gangsta rap, G-funk | ||||
Urefu | 68:01 | ||||
Lebo | Aftermath, Interscope | ||||
Mtayarishaji | Dr. Dre (nae mt. mtendaji), Mel-Man, Scott Storch, Lord Finesse | ||||
Wendo wa albamu za Dr. Dre | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya 2001 | |||||
|
2001 ni jina la albamu ya pili ya msanii na mtayarishaji wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Dr. Dre. Albamu ilitolewa mnamo tar. 16 Novemba, 1999, kupitia studio za Interscope Records. Hili ni toleo la pili baada ya albamu ya kwanza ya Dr. Dre The Chronic (1992).
Kimsingi ilitayarishwa na Dr. Dre na Mel-Man, na Lord Finesse, na kushirikisha michango kadha wa kadha kutoka kwa marapa wengine kama vile Hittman, Snoop Dogg, Kurupt, Xzibit, Nate Dogg, na Eminem. 2001 inadhihirisha upanuzi katika kuandaa midundo ya G-funk ambayo ina maudhui ya gangsta rap au rap ya kihuni au kisela - kukiwa na utata kama vile vurugu, uimbaji ovyo-ovyo, matumzi ya madawa ya kulevya, masela wa mtaa, na uhalifu.
Albamu iliingia moja kwa moja hadi nafasi ya pili kwenye chati za Billboard 200 huko nchini Marekani, na kuuza nakala 516,000 katika wiki yake ya kwanza. Ina vibao vyake vikali vitatu vilivyopelekea albamu kupata kupewa ngazi ya platinamu na RIAA kwa kufanya mauzo yake ya nakala milioni sita nchini Marekani pekee.
Licha ya hali yake ya kupondwa dhidi ya maudhui na mashairi yake ya kihuni/kisela sana, 2001 imepokea tahakiki mwanana kutoka kwa wataalamu wa kutathmini muziki. Albamu ilisifiwa na watunzi wa nyimbo wa kudumisha mtindo wa West Coast hip hop baada ya kimya cha miaka mingi, wakati anaonesha hilo Dr. Dre anaweza kubaki kuwa maarufu hata kwa wasikilizaji wa kizazi kipya.
Mapokeo ya kitahakiki
[hariri | hariri chanzo]Makadirio ya kitaalamu | |
---|---|
Tahakiki za ushindi | |
Chanzo | Makadirio |
Allmusic | [2] |
Robert Christgau | C[3] |
Entertainment Weekly | A−[4] |
Los Angeles Times | [5] |
NME | 6/10[6] |
PopMatters | 8/10[7] |
The Rolling Stone Album Guide | [8] |
The Source | [9] |
Spin | 7/10[10] |
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- Nyimbo zote zimetayarishwa na Dr. Dre na Mel-Man, kasoro "The Message" imetayarishwa na Lord Finesse.
No. | Jina | Mtunzi (wa) | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "Lolo" (intro) (akiwa_na Xzibit and Tray-Dee) | Ilyasse Merazka | 0:40 |
2. | "The Watcher" | Nasir Jones, Andre Young, Ilyasse Merazka | 3:26 |
3. | "Fuck You" (akiwa_na Devin the Dude and Snoop Dogg) | Young, Brian Bailey, Calvin Broadus, Devin Copeland, Merazka | 3:25 |
4. | "Still D.R.E." (akiwa_na Snoop Dogg) | Young, Melvin Bradford, Scott Storch, Shawn Carter, Merazka | 4:30 |
5. | "Big Ego's" (akiwa_na Hittman) | Young, Bailey, Bradford, Storch, Tracy Curry, Richard Bembery, Merazka | 3:57 |
6. | "Xxplosive" (akiwa_na Hittman, Kurupt, Nate Dogg and Six-Two) | Young, Bailey, Ricardo Brown, Craig Longmiles, Nathaniel Hale, Chris Taylor, Merazka | 3:35 |
7. | "What's the Difference" (akiwa_na Eminem and Xzibit) | Bradford, Marshall Mathers, Bembery, Alvin Joiner, Stefan Harris | 4:04 |
8. | "Bar One" (akiwa_na Traci Nelson, Ms. Roq and Eddie Griffin) | Merazka | 0:51 |
9. | "Light Speed" (akiwa_na Hittman) | Young, Bailey, Brown, Merazka | 2:40 |
10. | "Forgot About Dre" (akiwa_na Eminem) | Young, Brown, Mathers | 3:42 |
11. | "The Next Episode" (akiwa_na Snoop Dogg, Kurupt and Nate Dogg) | Young, Brown, Bailey, Bradford, Broadus | 2:41 |
12. | "Let's Get High" (akiwa_na Hittman, Kurupt and Ms. Roq) | Young, Bailey, Mathers, Brown, Racquel Weaver, Merazka | 2:27 |
13. | "Bitch Niggaz" (akiwa_na Snoop Dogg, Hittman and Six-Two) | Bailey, Bradford, Broadus, Longmiles, Merazka | 4:13 |
14. | "The Car Bomb" (akiwa_na Mel-Man and Charis Henry) | 1:00 | |
15. | "Murder Ink" (akiwa_na Hittman and Ms. Roq) | Young, Bailey, Weaver | 2:28 |
16. | "Ed-Ucation" (akiwa_na Eddie Griffin) | 1:32 | |
17. | "Some L.A. Niggaz" (akiwa_na DeFari, Hittman, Xzibit, Knoc-Turn'al, Time Bomb, King T, MC Ren na Kokane) | Young, Bailey, Joiner, Duane Johnson, Royal Harbor, Marquese Holder, Roger McBride | 4:25 |
18. | "Pause 4 Porno" (akiwa_na Jake Steed) | Laylaw & Aaron Harris | 1:32 |
19. | "Housewife" (akiwa_na Kurupt na Hittman) | Young, Bailey, Bradford, Brown, Curry | 4:02 |
20. | "Ackrite" (akiwa_na Hittman) | Young, Bailey, Bradford, Merazka | 3:39 |
21. | "Bang Bang" (akiwa_na Knoc-Turn'al and Hittman) | Young, Bailey, Mathers, Harbor, Merazka | 3:42 |
22. | "The Message" (akiwa_na Mary J. Blige na Rell) | Ryan Montgomery | 5:30 |
Chati zake
[hariri | hariri chanzo]
Chati za kila wiki[hariri | hariri chanzo]
|
Chati za mwishoni mwa mwaka[hariri | hariri chanzo]
Chati za mwishoni mwa muongo[hariri | hariri chanzo]
|
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Watcher: Dr. Dre, Dr Dre and Eminem: Amazon.fr: Musique". Amazon.fr. Iliwekwa mnamo 2012-11-09.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedAMG
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedChristgau
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedEW
- ↑ Calendar Writers (December 2, 1999). "Listen Up, Elves!". Los Angeles Times. Retrieved on 2009-07-11.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedNME
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedPopMatters
- ↑ Hoard, Christian (ed.). "The Rolling Stone Album Guide". Rolling Stone: 249. November 2, 2004. Portions posted at "Dr. Dre: Album Guide". Rolling Stone. Iliwekwa mnamo 2012-09-08.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "Dr. Dre 2001". The Source (January 2000): pp.185–6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-07-12.
{{cite journal}}
:|page=
has extra text (help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedTate
- ↑ 11.0 11.1 11.2 11.3 11.4 11.5 11.6 Dr. Dre - 2001 Archived 4 Machi 2018 at the Wayback Machine.. NewZealandCharts. Accessed March 10, 2011.
- ↑ "Dr. Dre". The Official Charts Company. 1999-11-27. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
- ↑ 13.0 13.1 [2001 (albamu) katika Allmusic 2001 - Billboard Albums]. Allmusic. Accessed March 10, 2011.
- ↑ "Top Albums/CDs - Volume 70, No. 15, February 21, 2000". RPM. Iliwekwa mnamo 2010-10-11.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "Top 75 Artist Album, Week Ending 15 March 2001". GFK Chart-Track. 2001-03-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-07. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
- ↑ "2001 - Dr. Dre". Billboard. 2011-03-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-30. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Year-end Charts: The Billboard 200". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
- ↑ "Year-end Charts: Top R&B/Hip-Hop Albums". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
- ↑ "Best of the 2000s: Billboard 200 Albums". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] chanzo] mnamo 10 Desemba 2010. Iliwekwa mnamo 2011-01-10.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help); Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Best of the 2000s: R&B/Hip-Hop Albums". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-10. Iliwekwa mnamo 2011-01-10.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Nathan Brackett, Christian Hoard (2004). The New Rolling Stone Album Guide. Completely Revised and Updated 4th Edition. Simon and Schuster. ISBN 0-7432-0169-8.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Kigezo:Discogs master
- Accolades: 2001 Archived 6 Julai 2011 at the Wayback Machine. at Acclaimed Music
- Staff Review at Sputnikmusic