Uorodheshaji wa Data ya Fedha na Makanusho

  • Orodha ya Masoko yote ya Hisa, Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja, Orodha Teule za Hisa na data nyingine ya fedha inayopatikana kwenye bidhaa za Google
  • Makanusho Husika

Masoko ya Hisa

  • Bei za mwisho wa siku hutolewa na Morningstar. Vitendo vya mashirika na metadata ya kampuni imetolewa na Refinitiv.
  • Data ya siku huenda ikatolewa na ICE Data Services.
  • Data ya Soko la Hisa la Moscow haipatikani kwa sasa.
Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Amerika BCBA Soko la Hisa la Buenos Aires 20
BMV Soko la Hisa la Meksiko 20
BVMF B3 - Soko la Hisa la Brazili na Soko la Kaunta 15
CNSX Soko la Hisa la Kanada Muda halisi
CVE Soko la Hisa la TSX Venture la Toronto 15
NASDAQ Punguzo la Mwisho la NASDAQ Muda halisi *
NYSE NYSE Muda halisi *
NYSEARCA SOKO LA HISA LA KIELEKTRONIKI (ARCA) la NYSE Muda halisi *
NYSEAMERICAN Soko la Hisa la New York Marekani Muda halisi *
OPRA Mamlaka ya Kuripoti Bei za Rasilimali Zinazofuatilia Bei za Mali Husika 15
OTCMKTS FINRA Matatizo Mengine ya OTC 15
TSE Soko la Hisa la Toronto 15
TSX Soko la Hisa la Toronto 15
TSXV Soko la Hisa la TSX Venture la Toronto 15
Ulaya AMS Soko la Hisa la Euronext la Amsterdam 15
BIT Soko la Hisa la Borsa Italiana la Milan Muda halisi
BME Soko la Hisa la Bolsas y Mercados Españoles 15
CPH Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Copenhagen Muda halisi
EBR Soko la Hisa la Euronext la Brussels 15
ELI Soko la Hisa la Euronext la Lisbon 15
EPA Euronext Paris 15
ETR Deutsche Börse XETRA 15
FRA Soko la Hisa la Deutsche Börse Frankfurt Muda halisi
HEL NASDAQ OMX Helsinki Muda halisi
ICE Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Aisilandi Muda halisi
IST Borsa Istanbul 15
LON Soko la Hisa la London Muda halisi
RSE Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Riga Muda halisi
STO Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Stockholm Muda halisi
SWX, VTX Soko la Hisa la SIX la Uswisi 15
TAL Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Tallinni Muda halisi
VIE Soko la Hisa la Vienna 15
VSE Soko la Hisa la NASDAQ OMX la Vilnius Muda halisi
WSE Soko la Hisa la Warsaw 15
Afrika JSE Soko la Hisa la Johannesburg 15
Mashariki ya Kati TADAWUL Soko la Hisa la Saudia 15
TLV Soko la Hisa la Tel Aviv 20
Asia BKK Soko la Hisa la Tailandi 15
BOM Soko la Hisa la Bombay Muda halisi
KLSE Bursa Malaysia 15
HKG Soko la Hisa la Hong Kong 15
IDX Soko la Hisa la Indonesia 10
KOSDAQ KOSDAQ 20
KRX Soko la Hisa la Korea 20
NSE Soko la Hisa la Taifa la India Muda halisi
SGX Soko la Hisa la Singapoo Muda halisi
SHA Soko la Hisa la Shanghai 1
SHE Soko la Hisa la Shenzhen Muda halisi
TPE Soko la Hisa la Taiwan Muda halisi
TYO Soko la Hisa la Tokyo 20
Pasifiki Kusini ASX Soko la Hisa la Australia 20
NZE Soko la Hisa la Nyuzilandi 20
  • *Data ya bei ya muda halisi huwakilisha mauzo yanayofanyika kwenye masoko ya hisa ya NASDAQ na NYSE. Taarifa za wingi pamoja na data ya bei ya hisa zisizonunuliwa na kuuzwa katika masoko hayo ya hisa, zinaunganishwa na kuchelewa kuonyeshwa kwa dakika 15.

Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja

  • Bei za Mifuko ya uwekezaji wa pamoja hutolewa na Morningstar.
Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Amerika MUTF Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja ya Marekani Mwisho wa siku
Asia MUTF_IN Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja ya India Mwisho wa siku

Orodha Teule za Hisa

  • Bei za mwisho wa siku hutolewa na Morningstar.
  • Data ya siku huenda ikatolewa na ICE Data Services.
  • Data ya Soko la Hisa la Moscow haipatikani kwa sasa.
Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Amerika INDEXBVMF B3 - Soko la Hisa la Brazili na Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Kaunta 15
INDEXCBOE Thamani za Orodha Teule za Hisa za CBOE 15
INDEXCME Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa za Biashara la Chicago Muda halisi
INDEXDJX Orodha Teule za Hisa za S&P Dow Jones Muda halisi
INDEXNASDAQ Orodha Teule za Hisa za Dunia NASDAQ Muda halisi
INDEXNYSEGIS Mipasho ya Orodha Teule za Hisa za Dunia NYSE 15
INDEXRUSSELL Russell Tick 15
INDEXSP Orodha Teule za Hisa Taslimu za S&P Muda halisi
BCBA Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Buenos Aires 20
INDEXBMV Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Meksiko 20
INDEXTSI Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Toronto 15
Ulaya INDEXBIT Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Milan 15
INDEXBME Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Bolsas y Mercados Españoles 15
INDEXDB Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Deutsche Börse 15
INDEXEURO Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Euronext 15
INDEXFTSE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la FTSE Muda halisi
INDEXIST Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Borsa Istanbul 15
INDEXNASDAQ Orodha Teule za Hisa za Dunia NASDAQ Muda halisi
INDEXSTOXX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la STOXX 15
INDEXSWX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la SIX Uswisi 15
INDEXVIE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Wiener Börse 15
Asia INDEXBKK Orodha Teule za Hisa za Soko la Tailandi 15
INDEXBOM Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Bombay Muda halisi
SHA Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Shanghai/Shenzhen 1
INDEXHANGSENG Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Hang Seng Muda halisi
HKG Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Hong Kong 15
KOSDAQ, KRX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Korea 20
INDEXNIKKEI Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Nikkei 20
INDEXTYO Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Tokyo 20
INDEXTYO:JPXNIKKEI400 © Japan Exchange Group, Inc., Tokyo Stock Exchange, Inc., Nikkei Inc. 20
INDEXTOPIX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Tokyo 20
IDX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Indonesia 15
NSE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Taifa la India Muda halisi
SHE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Shenzhen Muda halisi
TPE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Taiwan Muda halisi
Mashariki ya Kati TLV Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Tel Aviv 20
TADAWUL Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Saudia 15
Pasifiki Kusini INDEXASX Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Australia S&P/ASX Muda halisi
INDEXNZE Orodha Teule za Hisa za Soko la Hisa la Nyuzilandi 20

Mkataba wa miamala ya baadaye

  • Data ya mkataba wa miamala ya baadaye hutolewa na CME Group
Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Amerika CBOT E-mini 10
CBOT 10
CME E-mini 10
CME GLOBEX 10
COMEX 10
NYMEX 10

Dhamana

Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Marekani KCG Bondpoint 15

Viwango vya sarafu na dhahabu

  • Bei za sarafu na sarafu za dijitali hutolewa na Morningstar
  • Metadata ya sarafu za dijitali hutolewa na Coinmarketcap
  • Bei ya dhahabu kwa India hutolewa na TickerPlant
Eneo Msimbo wa Ubadilishaji wa Sarafu Maelezo Muda wa bei ya sarafu (dakika)
Ulimwenguni Sarafu 3
Sarafu ya dijitali 3
India Bei ya dhahabu 3

Data ya Sekta

  • Data ya sekta hutolewa na S&P Capital IQ. Yafuatayo ni majina ya Sekta katika mfumo wa GICS na jina linalohusiana linalotumiwa na Google Finance.

GICS

Google Finance

Maduka Makuu na Vituo Vikuu vya Biashara

Maduka ya Vyakula

Bidhaa za Matumizi ya Nyumbani Zinazodumu

Matumizi ya Nyumbani

Watoa Huduma za Gesi

Gesi

Huduma za Kifedha kwa Watu Binafsi

Mtoa Huduma ya Malipo

Bidhaa za Vyakula

Chakula

Maunzi ya Teknolojia, Kuhifadhi na Vifaa vya Pembeni

Kompyuta, Vifaa vya Pembeni na Programu

Wazalishaji wa Umeme na Nishati Jadidifu Wanaojitegemea

Nishati Jadidifu

Kampuni za Uchimbaji wa Chuma na Madini Migodini

Uchimbaji wa Madini

Vifaa vya Huduma ya Afya na Ugavi

Vifaa vya Matibabu

Sekta

Sekta

Huduma Anuai za Kifedha

Salio

Watengenezaji wa Pombe

Kiwanda cha Pombe

Mashine

Sekta ya Mashine

Bidhaa za Watumiaji

Mtumiaji

Watoa Huduma za Maji

Maji

Magari na Spea

Magari

Filamu na Burudani

Burudani

Hoteli, Majumba ya Likizo na Kampuni Zinazoendesha Manowari

Hoteli

Hoteli, Majumba ya Likizo na Kampuni Zinazoendesha Manowari

Jumba la Likizo

Hoteli, Majumba ya Likizo na Kampuni Zinazoendesha Manowari

Kampuni Inayoendesha Manowari

Vitambaa

Mavazi

Huduma za Elimu

Elimu

Huduma za Mikopo ya Nyumba

Mkopo wa Nyumba

Watoa Huduma za Umeme

Umeme

Ushauri wa Teknolojia ya Habari (IT) na Huduma Nyingine

Ushauri wa Teknolojia ya Habari

Bidhaa za karatasi

Karatasi

Kampuni za Biashara na Wasambazaji

Kampuni ya biashara

Programu

Programu ya Kompyuta

Uuzaji wa Rejareja wa Kompyuta na Vifaa vya Kielektroniki

Vifaa vya Kielektroniki vya Watumiaji

Kampuni Kubwa Katika Sekta Zenye Biashara Nyingi Tofauti

Kampuni kubwa zenye biashara nyingi tofauti

Mtoa Huduma za Afya na Huduma Nyinginezo

Mtoa huduma za afya

Bidhaa za Matumizi ya Nyumbani

Bidhaa za Matumizi ya Nyumbani

Uchapishaji wa Kibiashara

Uchapishaji

Mbolea na Kemikali za Kilimo

Mbolea

Uchapishaji

Televisheni ya Setilaiti

Uchimbaji wa Mafuta na Gesi

Uchimbaji

Uchimbaji wa Mafuta na Gesi

Mafuta (Petroli)

Uuzaji wa Rejareja wa Vifaa vya Uboreshaji wa Nyumba

Uboreshaji wa Nyumba

Fedha

Huduma za Kifedha

Kemikali

Sekta ya Kemikali

Teknolojia ya Habari

Teknolojia

Vipitishi Vidogo vya Umeme na Kifaa cha Kipitishi Kidogo cha Umeme

Kipitishi Kidogo cha Umeme

Maudhui na Huduma Wasilianifu (kiwango cha 4)

Maudhui Wasilianifu

Bidhaa Binafsi

Bidhaa za Usafi Binafsi

Usafirishaji kwa Njia ya Ndege pamoja na Huduma za Ugavi na Usafirishaji

Mizigo inayosafirishwa kwa Ndege

Usimamizi na Uendelezaji wa Nyumba na Viwanja

Usimamizi wa Jengo

Burudani Wasilianifu ya Nyumbani

Burudani ya Nyumbani

Mavazi, Vifaa na Bidhaa za Starehe

Bidhaa za Starehe

Mavazi, Vifaa na Bidhaa za Starehe

Mavazi

Mavazi, Vifaa na Bidhaa za Starehe

Kifaa cha Mitindo

Vyombo vya nyumbani

Samani

Bidhaa za Kujiburudisha

Kujiburudisha

Watoa Huduma

Watoa Huduma za Umma

Bidhaa za Ujenzi

Ujenzi

Watoa Huduma Mbalimbali

Huduma mbalimbali

Programu na Huduma

Programu

Spea za Magari

Spea za Magari

Bidhaa za Mahitaji Yasiyo ya Lazima

Mtumiaji

Uuzaji wa Rejareja wa Dawa

Dawa

Vifaa vya Ujenzi

Kifaa cha Ujenzi

Maunzi ya Teknolojia na Vifaa

Maunzi ya kompyuta

Ufamasia

Sekta ya Madawa

Huduma za Mawasiliano ya Simu

Mawasiliano ya Simu

Watengenezaji wa Pombe na Mvinyo

Kiwanda cha Kutengeneza Pombe

Mavazi

Mavazi

Vinywaji

Kinywaji

Huduma za Kibiashara na Kitaalamu

Huduma za Kibiashara

Maduka ya Bidhaa za Jumla

Duka la Jumla

Uuzaji wa Rejareja wa Magari

Sekta ya Magari

Vifaa Vinavyodumu na Mavazi

Mavazi

Mashirika ya Ndege za Abiria

Shirika la Ndege

Mashirika ya Ndege za Abiria

Shirika la Ndege ya Abiria

Huduma za Intaneti na Miundombinu

Intaneti

Huduma za Utengenezaji wa Vifaa vya Kielektroniki

Utengenezaji wa Vifaa vya Kielektroniki

Usafiri wa Majini

Usafiri wa majini

Wasambazaji wa Vifaa vya Teknolojia

Teknolojia

Makanusho

Data na taarifa zote zimetolewa "kama zilivyo" kwa madhumuni ya taarifa pekee na hazijakusudiwa kwa madhumuni ya kibiashara au kifedha, uwekezaji, kodi, sheria, uhasibu au ushauri mwingine. Tafadhali wasiliana na wakala au mwakilishi wako wa fedha kuhakikisha bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Google si mshauri wa uwekezaji, fedha au wakala wa dhamana. Data na taarifa hizi si sehemu ya ushauri wa uwekezaji wala ofa, mapendekezo au maombi kutoka Google kununua, kuuza au kushikilia hisa au bidhaa yoyote ya kifedha na Google haina uwakilishi (na haina maoni) kuhusu ushauri au ufaafu wa uwekezaji wowote.

Data na taarifa hizi si sehemu ya ushauri wa uwekezaji (uwe wa jumla au mahususi). Bidhaa za kifedha au shughuli zinazorejelewa katika data na taarifa kama hizi huenda zisifae kwa aina ya uwekezaji wako pamoja na malengo au matarajio yako ya uwekezaji. Ni wajibu wako kuzingatia iwapo bidhaa yoyote ya kifedha au shughuli inakufaa kulingana na maslahi yako, malengo ya uwekezaji, kiasi cha muda wa kuwekeza na kiwango cha hatari au hasara kampuni imejiandaa kukabiliana nazo. Google haitawajibika kwa uharibifu wowote utakaotokea kutokana na shughuli yoyote au uwekezaji wa bidhaa za kifedha unorejelewa. Google haipendekezi utumie data na taarifa iliyotolewa kama msingi pekee kwa ajili ya kufanya uamuzi wa uwekezaji.

Data hutolewa na soko la hisa na watoa huduma wengine wa maudhui na huenda ikacheleweshwa kama inavyobainishwa na soko la hisa au watoaji wengine wa data. Google haithibitishi data yoyote na inakanusha wajibu wowote wa kufanya hivyo.

Google, watoa huduma wake wa data au maudhui, masoko ya hisa na kila mmoja wa washirika wao na washirika wa biashara (A) wanakanusha kwa uwazi usahihi, utoshelevu au ukamilifu wa data yoyote na (B) hawatawajibika kwa hitilafu zozote, ukosefu wa data, au kasoro nyingine kwenye, ucheleweshaji au ukatizaji katika data hiyo au kwa hatua zozote zitakazochukuliwa kwa kutegemea mambo yaliyotajwa hapa. Si Google wala watoa taarifa wetu wowote watawajibika kwa uharibifu wowote unaohusiana na matumizi yako ya taarifa iliyotolewa hapa. Kama ilivyotumika hapa, "washirika wa kibiashara" hairejelei wakala, ushirika wowote au uhusiano wa juhudi ya pamoja kati ya Google na vikundi vyovyote vya aina hiyo.

Unakubali kutokunakili, kuboresha, kubadilisha muundo, kupakua, kuhifadhi, kuzalisha tena, kuchakata, kuhamisha au kusambaza data au taarifa yoyote inayopatikana hapa au kutumia data au taarifa yoyote kama hiyo kwenye shirika la kibiashara bila kupata idhini ya awali kwa njia ya maandishi.

Google au data ya washirika wake wengine au watoa huduma ya maudhui wana haki maalumu ya umiliki wa data na taarifa iliyotolewa.

Tafadhali pata viwango vya ubadilishaji sarafu viliyoorodheshwa pamoja na orodha teule za hisa zinazokusanywa na Google pamoja na bei ya sarafu kwenye jedwali lililopo hapo juu.

Matangazo yanayowasilishwa kwenye Google Finance ni wajibu wa mhusika pekee ambaye ndiye chanzo cha tangazo. Si Google wala watoa leseni wake wa data wanaidhinisha au kuwajibika kwa maudhui ya tangazo lolote au bidhaa au huduma yoyote inayotolewa humu.

Ubadilishaji wa Sarafu

Google haitoi dhamana ya usahihi wa kiwango cha ubadilishaji sarafu kinachoonyeshwa. Ni lazima uthibitishe bei zilizopo za sarafu kabla ya kufanya miamala yoyote ambayo inaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji sarafu.

Nafasi ya Utafutaji

Google Finance hutoa njia rahisi ya kutafuta data ya kifedha ya hisa (hisa, mifuko ya uwekezaji wa pamoja, orodha teule za hisa n.k), kiwango cha ubadilishaji wa sarafu na ubadilishaji wa sarafu za dijitali ("Data ya Kifedha"). Data ya Kifedha hupatikana kutoka kwa watoa huduma mbalimbali wa data na mipasho kwenye muundo uliounganishwa unaopatikana kwa ajili ya kuwahudumia watumiaji. Google Finance huorodhesha mapendekezo ya utafutaji kwa kuzingatia vipengele vikuu vitatu: Mapendekezo yanayolingana kabisa na hoja, maonyesho ya Tafuta na Google na maonyesho ya Google Finance. Mapendekezo yanayolingana kabisa na hoja yanapewa umuhimu wa hali ya juu yakifuatiwa na maonyesho ya Tafuta na Google na maonyesho ya Google Finance ambayo hupewa umuhimu unaolingana.

Hisa za NYSE

NYSE, NYSE Arca LLC, na NYSE MKT LLC zinahifadhi haki zote za taarifa za hisa ambazo unapewa na Google LLC. Unaelewa na kukubali kwamba taarifa hizo za hisa haziakisi shughuli za biashara za masoko mengine zaidi ya NYSE, NYSE Arca, au NYSE MKT, kama inavyotumika na imekusudiwa kukupa hoja za kurejelea tu, badala ya kutumika kama msingi wa kufanya maamuzi ya kibiashara. Hakuna kampuni ya Google LLC, NYSE, NYSE Arca LLC, na NYSE MKT LLC inatoa dhamana ya taarifa hizo wala hakuna kampuni miongoni mwazo itakayowajibika kwa hasara yoyote inayotokana na ama ulegevu kampuni hiyo au kwa sababu yoyote iliyo nje ya udhibiti adilifu wa kampuni. Ni marufuku kusambaza kwingine taarifa kama hiyo.

S&P Capital IQ

S&P Taarifa ya Masoko ya Dunia hutolewa na S&P Capital IQ. Hakimiliki (c) 2020, S&P Capital IQ (na washirika wake, kama inavyotumika). Haki zote zimehifadhiwa.

Orodha Teule za Hisa za S&P Dow Jones LLC

Hakimiliki © 2020, S&P Dow Jones Indices LLC. Haki zote zimehifadhiwa. S&P haikupi dhamana ya usahihi, utoshelevu, ukamilifu au upatikanaji wa taarifa yoyote na haiwajibiki kwa hitilafu zozote au kushindwa kutekeleza makubaliano bila kujali sababu au matokeo ya kutumia taarifa hiyo. S&P, washirika wake na wasambazaji wao wengine wanakanusha lugha yote au arabuni zisizotajwa ikiwa ni pamoja na, lakini si tu dhima yoyote ya ubora kwa mauzo au kufaa kwa madhumuni au matumizi mahususi. Orodha Teule za Hisa za S&P DJI si ushauri wa uwekezaji na rejeleo la uwekezaji au dhamana mahususi, alama ya uwezo wa kukopesheka au uchunguzi wowote kuhusu hisa au uwekezaji unaotolewa kwenye Orodha Teule za Hisa za S&P DJI, si mapendekezo ya kununua, kuuza au kushikilia uwekezaji huo au hisa au kufanya maamuzi mengine yoyote ya uwekezaji. Kwa vyovyote, S&P haitawajibika kwa uharibifu wowote wa moja kwa moja, au usio wa moja kwa moja au maalumu unaoambatana na gharama, ada za kisheria au hasara (ikijumuisha mapato au faida iliyopotea na gharama za fursa) zinazotokana na matumizi yako au ya wengine ya Orodha Teule za Hisa za S&P DJI.