Nenda kwa yaliyomo

Ahriche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ahriche

Ahriche, katika vyakula vya Morocco, Ahriche ni chakula kinacholiwa na makabila ya Zayanes na Khénifra. Jina hilo limetokana na neno berber; hii inaonesha namna ya kupika chakula hiki. ni chakula ambacho kina ganglion,mapafu au utumbo kwenye mti wa mualoni fimbo na kupikwa kwenye makaa ya moto

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahriche kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.