Nenda kwa yaliyomo

Boris Yeltsin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hayati Boris Yeltsin.

Boris Nikolayevich Yeltsin (kwa herufi za Kirusi: Бори́с Никола́евич Е́льцин  sikiliza ?; 1 Februari 1931 - 23 Aprili 2007) alikuwa rais wa kwanza wa Urusi baada ya mwisho wa ukomunisti.

Alitumikia taifa la Urusi kuanzia mwaka 1991 hadi 1999. Mikhail Gorbachov, alimtangulia Boris, wakati huo Urusi iliitwa Umoja wa Kisovyeti. Vladimir Putin amekuja baada ya Boris.

Boris Yeltsin alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo tarehe 23 Aprili mwaka 2007.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boris Yeltsin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.