Nenda kwa yaliyomo

Briana De Souza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Briana DeSouza (alizaliwa Kanada, 22 Mei, 1991) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama beki. Ni nahodha mwenza wa timu ya taifa ya wanawake ya Guyana.[1][2]

  1. "Final 20-Player Rosters Announced for CWOQ 2016". concacaf.com. 8 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sachgau, Oliver (26 Machi 2014). "My favourite play: Briana De Souza". The Charlatan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-04. Iliwekwa mnamo 2024-11-30.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Briana De Souza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.