Nenda kwa yaliyomo

Homs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Homs (zamani: Emesa) ni mji wa Syria lenye wakazi 775,000, wa tatu baada ya Damasko na Aleppo.

Amekaliwa tangu mwaka 2300 KK. Jengo muhimu zaidi kihistoria ni Krak des Chevaliers.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Homs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.