Internet Adult Film Database
Mandhari
URL | iafd.com |
---|---|
Biashara? | yes |
Lugha zilizopo | Kiingereza |
Leseni | proprietary |
Viumbe | 1995 |
Alexa rank | 7,395 (April 2014[update])[1] |
Sasa | Online |
Internet Adult Film Database (kifupi: IAFD) ni uhifadhidata mtandaoni unaohusiana na habari za filamu, vipindi vya waigizaji, vikundi vya watayarishaji wa masuala ya filamu n.k.
IAFD ilianzishwa mnamo 1995.
Marejeo
- ↑ "Iafd.com Site Info". Alexa Internet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-25. Iliwekwa mnamo 2014-04-01.