Nenda kwa yaliyomo

Kisagara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisagala (au Kisagara) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasagala. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisagara imehesabiwa kuwa watu 79,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisagara iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisagara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.