Mabuti ya wachunga ng'ombe
Mandhari
Mabuti ya wachunga ngombe (kwa Kiingereza cowboy boots) ni aina maalumu za buti zinazovaliwa na wanaokwenda safari kwa kutumia farasi na haswa walinda ng'ombe katika mashamba makubwamakubwa huko nchi za Magharibi, hasa Mareakni.
Mabuti hayo hutengenezwa kwa ngozi ya ng'ombe au hata ya mamba, tembo, nyoka, kifaru na wanyama wengine.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mabuti ya wachunga ng'ombe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |