Osamu Shimomura
Mandhari
Osamu Shimomura (amezaliwa 27 Agosti 1928) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza sifa za protini fulani. Mwaka wa 2008, pamoja na Roger Tsien na Martin Chalfie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Osamu Shimomura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |