Nenda kwa yaliyomo

Roy Haynes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roy Haynes

Roy Owen Haynes (13 Machi 192512 Novemba 2024) alikuwa mpigaji-dramu maarufu kutoka Marekani. Alikuwa miongoni mwa wapiga dramu waliorekodiwa zaidi katika historia ya jazz. Katika kazi yake iliyodumu kwa zaidi ya miongo minane, alicheza muziki wa swing, bebop, jazz fusion, na jazz ya kisasa (avant-garde). Anachukuliwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa uchezaji wa drum katika jazz. "Snap Crackle" ilikuwa jina la utani alilopewa katika miaka ya 1950. [1]

  1. Hull, Tom. "Downbeat Critics Poll: 2008". Tom Hull – on the Web. Iliwekwa mnamo Machi 11, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roy Haynes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.