Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Machida Gion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Machida Gion

Uwanja wa Michezo wa Machida Gion ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1990 kwenye mji wa Machida, Tokyo Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Machida Zelvia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,489 (Expanded).[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Machida Gion kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.