Yohane Antoni Farina
Mandhari
Yohane Antoni Farina (11 Januari 1803 – 4 Machi 1888) alikuwa askofu mmojawapo wa Kanisa Katoliki nchini Italia, kwanza Treviso halafu Vicenza, na mwanzilishi wa shirika la Masista Walimu wa Mt. Dorotea Mabinti wa Mioyo Mitakatifu.
Alisifiwa kwa uchungaji wake, kwa ukarimu wake kwa maskini wa aina zote na kwa kuinua vijana kwa malezi.[1]
Ndiye aliyempa upadrisho atakayekuwa Papa Pius X[2].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Novemba 2001 na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90331
- ↑ "Saint Giovanni Antonio Farina". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |